Search

140 results for Devotha Kihwelo :

  1. Fahamu madhara ya kunywa pombe bila kula

    Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini.

  2. Unakunywa pombe bila kula? tambua madhara yake haya hapa

    Dar es Salaam. Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali, soma hapa kwa makini. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi kwa watu wenye tabia ya kunywa pombe...

  3. Jamii yaombwa kusaidia matibabu watoto wenye mtindio wa ubongo

    Mtoto akitibiwa mapema inasaidia kwa sababu ubongo unaendelea kukua

  4. Muhas yahadharisha hofu magonjwa ya mlipuko

    Baada ya matukio kadhaa ya kuhara Muhas imeanza kampeni maalumu inayosisitiza usafi kama njia ya kujikinga na kupambana na magonjwa ya mlipuko.

  5. TAEC ilivyookoa maisha ya watu dhidi ya mionzi

    Tume ya Nguvu za Atomic Tanzania (TAEC) imezuia matukio 17 yaliyohusiana na mionzi ambayo yalikuwa na uwezekano wa kuleta madhara

  6. Wafugaji wataka bima ya mifugo

    Wafugaji wameomba kuwe na bima ya mifugo iwapo watakufa au kupata ajali, ambayo itafungua fursa zaidi za soko la ajira katika mnyororo wa thamani.

  7. Vijana wapewa ‘mchongo’ sekta ya kilimo

    Vijana wametakiwa kujitokeza kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kwa kujiunga katika vikundi, ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa urahisi, uzoefu na elimu ya kifedha.

  8. Majaliwa ataka ufugaji wa kisasa, kilimo chapigiwa chapuo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekitaka Chama cha Wafugaji Tanzania kutoa elimu ya ufugaji kwa wanaojishughulisha na sekta hiyo ili waifanye kitaalamu.

  9. PRIME Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako

    Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo.

  10. Waokota chupa za plastiki wakatiwa bima ya afya

    Amesema uzalishwaji wa chupa za plastiki ni mkubwa lakini urejeshwaji wake umekuwa na changamoto, hususani kwenye chupa za rangi ambazo waokotaji hawazichukui kutokana na gharama yake kuwa ndogo.

Page 1 of 14

Next